Nawezaje kumuacha???

Nawezaje kumuacha???

Shughuli yote ipo hapo kwenye rangi. Wote mnapendana sana si ajabu mnapendana kuliko mnavyowapenda wenzenu wa kwenye ndoa, ndiyo sababu miaka mitano/sita sasa bado mko pamoja mnafanya yenu hata angekwambia ubebe mimba yake ndani ya ndoa sidhani kama ingekuwa shida kwako. Waswahili hawakukosea waliposema, "Kipenda roho hula nyama kavu/mbichi"

Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
 
Shetani mkubwa wewe ulaaniwe, nyie ndio mnatufanya tusioe wanawake tunaokutana ukubwani bz wanakuwa washafanya mengi, wewe endelea naye tu hata ukitaka MPE Tigo ila wewe ni malaya mbwa Mkubwa wewe IPO siku utaumbuka
Limalaya hiloo....ni kuliacha tu
 
Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
Your stupid is what yr are serving!
 
Wenye uzoefu na hili watamhurumia huyu mtoa mada badala ya kumhukumu na kumtolea maneno makali kana kwamba ni mkosaji wa kiwango cha Phd. Wanaume na wanawake walio katika ndoa mara nyingi huwa tunashindwa kukaba vizuri maeneo yetu kiasi kwamba tunaacha mwanya wa EXs waendelee kuwa sehemu ya maisha yetu. Mwanaume humtimizii mkeo mahitaji ya kiuchumi, kimwili, na hata kijamii na kisaikolojia. Si kwa sababu umejitahidi kwa uwezo wako wote noo, bali kwa kutoona haja au umuhimu wa kutimiza wajibu wako. Wanawake nao wameshindwa kutimiza wajibu wao kwa waume zao kwa kiwango cha kuwafanya wahitaji kuendelea kupata msaada wa ma ex wao. Ni hatari na haifai lakini wanandoa wengi hujikuta kwenye hii dilemma!!
 
Nimejisikia kusisimka kabisa, kikwazo cha ninyi kuoana ilikuwa ni nini hasa??
Kama mlivyoamua kutokuoana hebu muamue kila mmoja wenu atulie na mwenza wake. Sitaki kuamini kwamba huwezi kuachana nae we sema hujaamua tu .
Mnavyowatenda wenzi wenu wala Mungu hapendi arobaini yenu ikifika mtajuta.

Futa kabisa mawasiliano naye kwa njia yoyote ile focus kwenye ndoa yako, mlee mumeo na watoto wenu na la mno mpende na kumheshimu mumeo
Madhara ya Jamii/family kufosi muoane watu wa aina flani mfano dini moja,kabila,wenye kazi, kipato nk...mkipishana dini tu family zingine hazitaki hivyo mtu anajikuta anaoa/olewa na mtu asiempenda
 
Kama mambo yenyewe ndio haya hizi ndoa zina mambo na siri nyingi sana. Miaka 6 kwenye ndoa bado unachepuka na jamaa yako wa zamani. Hivi kulikuwa na sababu gani hata hamkuowana??
Yule jamaa juzi aliemchoma mkewe kwa moto siri anaijua mwenyewe kwakweli. Kama mimi ndio mumeo na nikijua hii siri ipo kwa miaka 6 lazima nikukate mishkaki na kukuuza kabisa.

Ndukiiiii
Ndoa na moyo wa binadamu una siri kubwa sana....usipende kuchukua maamuzi ukiwa na hasira...unaemuoa sio malaika,she's not perfect au mnadhani tukisema nobody's perfect tunamaanisha kasoro zipi,ni kama hizii,utasolve vipi,ukiua unaamkia jela for life sio suluhu
 
Hizi ndoa hizi, ndo mana muda mwingine natamani dini yangu waruhusu kuacha na kuoa mwingine, Ingesaidia.
 
Miye binafsi sikulaum maana kwenye mapenzi ile perfect combos huwa hawaowani sijui kwanini. Na unayeowana nae atakuwa na tofauti kubwa tuu na yule ambaye hamkuowana.

Inawezekana dini imechangia msiowane, au kabila wazee hawalitaki, hata familia pia Elimu nayo inachangia kutokuwa pamoja.

Low performance on bed inakufanya ukumbuke yule wa zamani, treatment za huyu mpya siyo nzuri km yule wa zamani.

Pole sana km hayo ya hapo juu ndiyo yanayokusibu, mtaachana mkiwa watu wazima kbs. Wakati watoto watakapokuwa ndugu zako zaid ya ndugu wa kuzaliwa. Na hapo ss unaweza acha kbs mambo hayo.

Pole sana love Chemistry ni jipu lililoshindikana kwa wengi.
Well said,makatazo ya familia wanapochagua uoe au uolewe na yupi na preshaaa za kuoa na kuolewa ukioneka upo upo tu muda mrefu ndo yanafikisha watu hapo..
 
Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
siku utakayofumaniwa,utaacha.au umesahau kuwa mme/mke wa mtu ni sumu?,unafanya makosa kusariti ndoa,hiyo dhambi itakuandama.
 
unaweza muacha kupitia hii mbinu...hakikisha usikumbuke wala usifanye mambo ambayo mlikuwa mnafanya mkiwa nae,usikumbuke fadhila zake hata chembe,tupa vitu vyote ambavyo alikupa au alikununulia,zingatia akili yako yote kwa mumeo wa sasa....utamsahau hatimaye utamacha kama alivyo...
Atupe nyumba maana na ujenzi Jamaa alisaidia
 
Tamaa ikichukua mimba uzaa dhambi,dhambi ikiisha kukomaa uzaa mauti.Mshahara Wa dhambi ni mauti mrudie Yesu.
 
Endelea tu nae maana ukisema umuache hautamuacha n kujiongopea tu mwnyw but kiporo hakipikwiii
 
Saa ingine ni bora mtu kuishi mwenyewe tu. Hizi habari za ndoa zinaanza kupitwa na wakati
 
yaani angejua jamaa anamtumia tu hampendi wala nini? tena anamshangaa mke wa mtu kugegedwa nje nadhani anajisifu kwa kutomuoa maana hafai kabisa na ipo siku atamdump kama choo na hapo itakuwa too late maana atakuwa keshaharibu kwa mumewe
Unaolewa Na una mumeo alikuchagua kati ya wale wooote aliopitiapitia then Leo unamlipa haya tena macho makavu haya usoni hana
 
Madhara ya Jamii/family kufosi muoane watu wa aina flani mfano dini moja,kabila,wenye kazi, kipato nk...mkipishana dini tu family zingine hazitaki hivyo mtu anajikuta anaoa/olewa na mtu asiempenda
Wewe kama humpendi mwambie ili asipoteze muda wake kwako, kwa hiyo kama humpendi unaona ni halali kugawa nje sio. Bado hiyo sio sababu ya kucheat bwana
 
Unaolewa Na una mumeo alikuchagua kati ya wale wooote aliopitiapitia then Leo unamlipa haya tena macho makavu haya usoni hana
Duh ina maana mwanamke hana maamuzi au uchaguzi wowote kuhusu ndoa na maisha yake ya kimahusiano kwa ujumla?
 
Hujanielewa unapokua umeolewa hujichukulii maamuzi unavyitaka mmeoana mmekua mwili mmoja maamuzi mnachukua pamoja kabla ya kuolewa you're free to do whatever the hell u want to!!
 
Is it serious??? Nashindwa kuamini, kama mlianza wote mkiwa hamna familia kwanini hamkuwa na uelekeo wa kuanzisha familia...ilihali mlikua mnapendana??? Leo mmepata wenza mnaanza kuwadokolea!!
Nimewaza kama wewe. Kwanini wasingeoana basi kama hawakuwa na tatizo lolote. Nimehisi huu ni uongo wa kutunga na kutusumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom