Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
kumbe ?????Huo ndio umalaya.
kumbe ?????Huo ndio umalaya.
upo mkuu?Kumuacha itawezekana pindi tu pale mtakapo fumaniwa, tengeneza mazingira hayo halafu utakuja kuniambia......utamwacha kiroho safi.
yaani angejua jamaa anamtumia tu hampendi wala nini? tena anamshangaa mke wa mtu kugegedwa nje nadhani anajisifu kwa kutomuoa maana hafai kabisa na ipo siku atamdump kama choo na hapo itakuwa too late maana atakuwa keshaharibu kwa mumeweWenye ndoa hua mnatukatisha tamaaa
Mama kitendo cha nyie kutambua hakuna future kati yenu mlipaswa mtengeneze ukuta imara hapo
Anakusaidia ujenzi how Na wewe umeolewa una mumeo ambae mlipaswa mjikwamue nyie wenyewe
Ifike mahali ujisikie vibaya Na huwezi kuacha kufanya au kupenda kufanya jambo ikiwa moyo wako haujaamua kufanya hivo
Anakupenda sawa mbona hakukuoa?


Nipo, mama....habari za masiku tele?upo mkuu?
Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
nipo tu nagegedwa na maishaNipo, mama....habari za masiku tele?
Ooopsiiii!!! Roho ilinipasuka na pressure juu wakati nasoma.....afadhali kumbe ni 'maisha'nipo tu nagegedwa na maisha
KWANI UNADHANI SIGEGEDWI KWENYE PAPUCHI?Ooopsiiii!!! Roho ilinipasuka na pressure juu wakati nasoma.....afadhali kumbe ni 'maisha'
Miss Natafuta umetisha,nimekosa tu emoji ya salute hapa ningeitupia!nipo tu nagegedwa na maisha

NIMEKUMISSIJEMiss Natafuta umetisha,nimekosa tu emoji ya salute hapa ningeitupia!![]()
![]()
![]()
Utakuwa umevunja ahadi yetu kama huyu mama mwenye uzi huuKWANI UNADHANI SIGEGEDWI KWENYE PAPUCHI?
