Nawezaje kumsaidia rafiki yangu kupunguza hasira?

Nawezaje kumsaidia rafiki yangu kupunguza hasira?

Mlete kwangu kijana

Vitu vigodo sana kwa wazee kama sisi tuna jua tunapambana navyo vp

waiter zungusha[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Labda ni frustration na stress
Mchukue mpeleke sehemu za kuinjoy na kufurahia kama beach, movie, na vile anavyovipenda.

Hebu jaribu kuchunguza kabila lake, ndugu zake au wazazi wake nao wana hasira hasira.inawezekana malezi aliyokulia tangu utotoni

Mwengine sio hasira bali ndio alivyo saa zote anapenda kuwa sirias na kuwa huru kila anachokifanya anajiona yupo sahihi
 
Anahitaji ANGER MANAGEMENT CLASSES..................labda mshauri aone wanasaikolojia......
Lakini je anatambua kwamba ni tatizo,na yuko tayari kusaka tiba?
 
mkuu,lakini hili suala lake halijamuanza ukubwan,ni toka utotoni.
muulize historia yake, utotoni, alishafanyiwa nini kibaya na wazazi,ndugu,marafiki, muulize kuhusu ukaribu wake na wenzie/ndugu, muulize nini kinamsumbua akili yake
 
iyo ni dalili ya kutaka penz

apo mkuu wew omba game tu utaona tokeo
 
Amelelewa na wazazi wote?
Bila shaka nahisi atakuwa amelelewa na mzazi mmoja, tena Mama!
Au nahisi atakuwa amelewa na either mzazi mmoja wa kambo!
 
Amelelewa na wazazi wote?
Bila shaka nahisi atakuwa amelelewa na mzazi mmoja, tena Mama!
Au nahisi atakuwa amelewa na either mzazi mmoja wa kambo!
amelelewa na wazazi wote wawili.
 
muulize historia yake, utotoni, alishafanyiwa nini kibaya na wazazi,ndugu,marafiki, muulize kuhusu ukaribu wake na wenzie/ndugu, muulize nini kinamsumbua akili yake
poa mkuu,nimekupata.
 
Anahitaji ANGER MANAGEMENT CLASSES..................labda mshauri aone wanasaikolojia......
Lakini je anatambua kwamba ni tatizo,na yuko tayari kusaka tiba?
anatambua kuwa ni tatizo,na ndio udhaifu wake mkubwa.
 
Back
Top Bottom