Nawezaje kumpa mtu link

Nimejaribu ku-insert link ya Jf ili ku-invite rafiki zangu waliopo Fb ili waje waone utamu wa hapa jamvini lkn haikufanya kazi kama nilivyotarajia. Au hii ni kwa ajili ya Jf peke yake? Lengo langu niwaambie bonyeza HAPA. NB: braketi nilizotumia ni hizi [ ] na nikajaribu na hizi pia < > lkn haikujibu. Niliandaa link yangu ilikuwa ya mfano huu (url="https://www.jamiiforums.com/register.php")HAPA(/url). Nilikuwa nakosea wapi?
 

hii inawork jf tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…