Nawezaje kuchukua michango yangu kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

Nsemwas Junior

Senior Member
Oct 23, 2009
173
54
Wakuu,

Hii sheria mpya inatia wasiwasi,ingawa haijapitishwa lakini naona mifuko wameshaanza kuzuia fao la kujitoa.

Nimesharesign na february nitakuwa free from my current emloyer,mfuko wangu ni PPF na ningependa kuchukua kafedha kangu kadogo kalichoko kule...kuna njia yoyote ninayoweza itumia kuipata pesa yangu?Sina mpango wa kuajiriwa tena na kuiacha hela yangu mpaka age 55 or 60 its crazy,kwa kipindi hicho haitakuwa na thamani ya sasa

Please advise.
 
Hao nssf pia wanazingua mm nimekaa miez sita na bado naambiwa tena nikae miez 3 mpk nipigiwe sm dah! Wananichanganya sn.. Cjui nafanyaje
 
Wakuu,

Hii sheria mpya inatia wasiwasi,ingawa haijapitishwa lakini naona mifuko wameshaanza kuzuia fao la kujitoa.

Nimesharesign na february nitakuwa free from my current emloyer,mfuko wangu ni PPF na ningependa kuchukua kafedha kangu kadogo kalichoko kule...kuna njia yoyote ninayoweza itumia kuipata pesa yangu?Sina mpango wa kuajiriwa tena na kuiacha hela yangu mpaka age 55 or 60 its crazy,kwa kipindi hicho haitakuwa na thamani ya sasa

Please advise.
PPF nimkama walisitisha kiongozi.NSSF unachukua baada ya miezi 6. PPF ni mpaka 55
 
Mwenye jibu la uhakika awekehapa make mwenyewe nina vijisent kule NSSF, mwenye uhakika atusaidie
 
Nssf niliuliza juzi juzi wakaniambia ni baada ya miezi sita. Maexpat wana raha wao wanapata fasta
 
Nssf nasikia nao hawatoi kwa sasa. Hiz ni info toka kwa mtu wa ndan kabisa. hizo ndo sheria wanazotunga wabunge wetu
 
Back
Top Bottom