Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,450
Wafwaaa!Masharti gani? Utaratibu wa kutoa mafao NSSF ukoje?
NSSF hawatoi wanasema wanasubiri maelekezo kutoka juu.Waraka wa kusitisha ulitolewa since july
Wafwaaa!Masharti gani? Utaratibu wa kutoa mafao NSSF ukoje?
Nimekaa miezi sita wameniambia tena baada ya miezi sita mingine yaani wanaboa kishenziHao nssf pia wanazingua mm nimekaa miez sita na bado naambiwa tena nikae miez 3 mpk nipigiwe sm dah! Wananichanganya sn.. Cjui nafanyaje
Wewe fuatilia ukienda tena wanakwambia ukae miezi sita mingineKama mwajili wako anapeleka michango kwa wakati,unapeleka barua ya kuacha kazi kutoka kwa mwajili ndani ya miezi sita unapata mafao yako
swali la kwanza uliwapigia kura ccm mwaka jana??Wakuu,
Hii sheria mpya inatia wasiwasi,ingawa haijapitishwa lakini naona mifuko wameshaanza kuzuia fao la kujitoa.
Nimesharesign na february nitakuwa free from my current emloyer,mfuko wangu ni PPF na ningependa kuchukua kafedha kangu kadogo kalichoko kule...kuna njia yoyote ninayoweza itumia kuipata pesa yangu?Sina mpango wa kuajiriwa tena na kuiacha hela yangu mpaka age 55 or 60 its crazy,kwa kipindi hicho haitakuwa na thamani ya sasa
Please advise.
NSSF wanatoa man.Baada ya miezi 6Mbona hata NSSSF nasikia hakuna hicho kitu? ai inakuwaje
NSSF wanatoa man.Baada ya miezi 6
Kumbuka mfumo Wa sasa ni smart card! Whuwezi kubadili! Uingie kama expart! Wala kuhama! Jitwist maisha yako ubane matumizi uwe unafix 20% ya mshahara kama ulivyokuwa unakatwa, vinginevyo ukiacha kazi utapata tabu maana wengi Wetu tulikuwa tukitegemea Mafao Hayo kama mkombozi Wetu hasa sisi Wa private sector kwakuwa wengi Wetu hatukuwa na tendency ya kusave bank!Nataka Niache kazi and then nijiunge upya kama expert ili nikitaka kutoka nivute mpunga wangu ila kweli tumepatwa hadi kwenye maisha yetu binafsi khah!
Dah tatizo NSSF hawaeleweki kama wanatoa au la yaani ni kama popo si mnyana si ndegeKumbuka mfumo Wa sasa ni smart card! Whuwezi kubadili! Uingie kama expart! Wala kuhama! Jitwist maisha yako ubane matumizi uwe unafix 20% ya mshahara kama ulivyokuwa unakatwa, vinginevyo ukiacha kazi utapata tabu maana wengi Wetu tulikuwa tukitegemea Mafao Hayo kama mkombozi Wetu hasa sisi Wa private sector kwakuwa wengi Wetu hatukuwa na tendency ya kusave bank!
weeee NSSF mkuu wacha kudanganya umma, hakiuna ilo fao..nna hela zangu nmeenda jana tu apo waterfront na nikaambiwa hakuna hilo fao mpaka ufike umri wa kustaafu mwisho.WAFWAAA,utaserebuka na vyombo,bora ungejiunga Nssf
Tatizo maelezo yanatofautiana kuna wanao sema wanatoa na kuna wanso sema hawstoi, Hii mifuko isahau watu kuchangia kwa hiari, watakuwa wanawabana waajiri tu.weeee NSSF mkuu wacha kudanganya umma, hakiuna ilo fao..nna hela zangu nmeenda jana tu apo waterfront na nikaambiwa hakuna hilo fao mpaka ufike umri wa kustaafu mwisho.
Hayo ya Nssf kuwa usubiri miezi6 ni uongo mtakatifu! Wameshapata maagizo toka mamlaka za juu wasilipe! wanasubiri BUNGE LIGONGELEE NYUNDO YA MWISHO!!! Wanatumia hiyo trick kuvutia employee wapya, kwani huukuuona ule waraka Wa Elibariki Kingu MB., kwa MP's wenzake kuwasihi waunge mkono zuio la FAO la kujitoa, ILI KUJENGA VIWANDA!!? UKO HUMU, MH, ALIAHIDI VIWANDA KWA KUTEGEMEA MICHANGO YETU! NDIO MAANA MAJUZI UMEONA KWENYE HABARI KUWA NSSF WAMEACHA KUJENGA MAJENGO WANAANZA KUJENGA NA KUFUFUA VIWANDA!!!... NA BADO MBONA HATUJANYOOKA BADO!!!Dah tatizo NSSF hawaeleweki kama wanatoa au la yaani ni kama popo si mnyana si ndege
Hata nssf hawatoi mkuu tunapigwa kalenda tu toka august mwaka Jana hadi Leo na hapo tumeambiwa tuende may, this is crazyWAFWAAA,utaserebuka na vyombo,bora ungejiunga Nssf