Nawezaje kubaki na mpenzi mmoja tuu?

Nawezaje kubaki na mpenzi mmoja tuu?

hahah, baba paroko kwa maswali tuu, em tusaidie alitakiwa amaanishe nn

Sio kumaanisha chochote bali story yake yote ni ya kujidhalilisha

Tunajua kuwa ambao hawawezi kujizuia ni wanyama tu ambao hawana uwezo wa kutafakari

Sasa yeye kujiweka kwenye kundi la wanyama si kujidhalilisha huko?
 
Baki njia kuu michepuko sio dili.

:lying::lying::lying::lying:
 
Buku 2000 tu
 

Attachments

  • 1399281201475.jpg
    1399281201475.jpg
    62.9 KB · Views: 110
Mimi ni kijana wa kiume around 30, nina mpenzi wangu tunapendana sana lakini nashindwa kujikinga na visichana vinavyojisogezasogeza kwangu, nishaurini nifanyeje kuishinda tamaa ya mwili?

endelea na hivyo visichana. nasikitika sana kama uko around 30 lakini bado unahangaika na visichana.
 
kwani mama yako huyo... mama ndo anakuwa mmoja tu loh... hii kauli ndo inayokupa kiburi
 
Back
Top Bottom