Nawezaje kubaki na mpenzi mmoja tuu?

Nawezaje kubaki na mpenzi mmoja tuu?

Thanks guys, hasa mlionipa mawazo ya kujichunguza na kuacha tamaa..
 
Mimi ni kijana wa kiume around 30, nina mpenzi wangu tunapendana sana lakini nashindwa kujikinga na visichana vinavyojisogezasogeza kwangu, nishaurini nifanyeje kuishinda tamaa ya mwili?
Usihofu vumilia kidogo tu, siku si nyingi utakapoanza kuugua ukimwi wote hao hatawakusumbua tena...
 
Mimi ni kijana wa kiume around 30, nina mpenzi wangu tunapendana sana lakini nashindwa kujikinga na visichana vinavyojisogezasogeza kwangu, nishaurini nifanyeje kuishinda tamaa ya mwili?


Mkuu usiumize kichwa hilo la mpenzi mmoja haliwezekani kwa mwanaume yoyote hata vitabu vya Mungu kuna mifano sahihi ya wanaume na manabii waliokuwa michepuko yakutupwa. najua watachukia wengi lakini bila kumung'unya maneno Quran na Bible vyote vimetupa mifano ya michepuko hao.
1. Solomon/Suleiman michepuko zaidi ya 600
2.Babake pia. Daudi michepuko mingi tu sikumbuki mingapi.
3. Mtume Muhammad S.W.A michepuko 600.
4. Abraham alichepuka kwa beki3 wake.
5.Sina uhakika na Yesu.
6.Farao ni mchepuko pia mpaka alishindwa kuwatosheleza sijui alikua kibamia mpaka Mke wake mmoja akaamua kufuata muhogo kwa Yusufu.

Kwahiyo mkuu wewe chepuka ukiulizwa wape maandiko kutoka Bible na Quran.
 
Back
Top Bottom