Kinyengeli
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 452
- 143
mmh kweli hiyo ni inborn character
maana mimi sijui ndo roho mbaya au nini, yaani nikusaidie halafu siku niwe na shida usionyeshe ushirikiano hata wa ushauri tuu
ni bora usahau kabisa msaada wangu
Babu asante kwa ushauri wako... Yaani uko kama mimi kabisa. Huwa najitahidi kuwa kauzu ila wakati mwingine nahisi kama najibana. All in all nitajitahidi kufuata ushauri wako!
Kabla hujaandika hapa ungeniuliza wewe una tabia gani kwnye utoaji ningekujibu kama ulivyoandika!!!
Yaani naweza kumjua mtu 'mtoaji' kiasi fulani kupitia maandishi yake!
By the way......nilkuwa Kigoma nikakutafuta kuanzia Ujiji mpaka Uvinza sijakuona, nilkuwa nauliza 'mmeshamwona yule dada wa kinyamwezi aliyejaaliwa?'...holaa
nami nna shida nawewe twende pm kim nana.
Najua kuna sehemu hua tunakwenda wote lakini tunaingia na kukaa sehemu tofauti.
Yani kwangu ni kama vile huo msemo haupo...wakati nipo chuo nlikuwa nagawa bum looote, kiasi kwamba sijui wiki itayofuatia nakula nini....
Mtu akiumwa hostel nitauguza kama me ndo nesi wa zamu, tena kwa gharama zangu...
Sasa ngoja majanga yanifike....simuoni shosti wala ndugu.....! Yani mpaka nabaki nalia tu....!
Daaah....wewe una tatizo kubwa hakika
Hakika....najitoa hadi najishangaa...yani nina roho nzuri hadi nyau wa jirani anajua....!
Habari za jumapili wadau wa jukwaa hili....
Hii tabia imenishinda kuacha, iko hivi....
Iwapo akatokea mtu wangu wa karibu iwe mpenzi/mshikaji/shost ana shida fulani huwa nakuwa mwepesi sana kumsaidia hata kama itanicost kifedha, muda hata nguvu huwa najitahidi sana kumsaidia....
Hata kama niko kazini, niko radhi nitoroke nikamsaidie mtu, kwa mpenzi ndio kabisa yeeeuuuwwiii nashindwa kujizuia.
Nitadanganya hata msiba ilimradi tu nikamsaidie atakacho... Either kazi flan au kumpeleka mahali fulani au kumfatia kitu fulani.
Lakini in returns sasa wananifanyia ndivyo sivyo, huwa napatwa hasira weee nachukia ila baada ya muda nasahau na kuendelea vivyo vivyo....
Unaweza kuwa na shida ukamfata mpenzi, mshikaji / shost kumueleza lakini akadai yuko busy au hana pesa labda, ilhali unafahamu kabisa ana uwezo wa kukusaidia. Mtu huyo huyo hapo baadae anakufata umsaidie wakati yeye huwa hakusaidii ukiwa na shida.
Nifanyeje niiache hii tabia, make inanicost ila nimekuwa kichwa ngumu kuishinda!
Wasalaam
CL
Pole charming lady,hiyo ni tabia njema usiwaze tenda wema nenda zako.