Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

Dah... katika ushauri woooote huu ndio ushauri wa kweli.... asante mkuu pokea like x10000
Anakudanganya huyo,nilikuwa na tabia kama hiyo ila nilikuwa nalala na bibi yangu basi nikirusha mguu tu ananifinya.Kwa hiyo wewe naomba unitafute tu nikupe zoezi la kijeshi la kulala juu ya ukuta,na ninakuhakikishia kuwa ukishinda hilo basi hutasogea hata sentimita moja utakapolala....
 
copy: Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Duh... mekaa PM mpaka mbu wamefurahi. Ndo nini kunichomesha mahindi wewe bibi??????

hahaha pole maskini!! afu kuwa mwangalifu bana siku hizi mbu wote wanaweza kueneze elephanti-nini sijui
nilikuwa na male dom wangu nikawa sifurukuti mwenzio!!!
 

Ukilala miguu minne vipi hiyo hali bado inkutokea?
 
Olewa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…