Nawezaje kuacha tabia hii mbaya?

Hii imekaa kiphysics zaidi maswala ya walimbwendetation force na SI Unit yake ya “Lazima ugeuke”
Formulae other factors remaining constant
Big Azz Booty/Beauty Azz Face × Beyonce's like Motion=Multiple Angles Head Rotations.
Siyo dhambi it comes naturally bro...mambo ya sexy human physical features hayo.
 
Wacha maneno yako wewe usiinyime nafsi fahari yake,hao viumbe wapo Kwa ajili yetu by the way fahari ya macho haifilisi duka
 
Duh
 
Nilikua nasukumizwa masingi weee mwisho wa siku akawa ananshtua mwenywe tuu likipta la ukwel utaskia chek uumbaji huo.... nmejikuta naacha mwenywe
 
Asante point tumeipata hongera kwa kua na gari.
 
Reactions: irk
Huuu mchezo nilikuwa nao hadi nikawa expert yani, nikimuona KE kwa mbele najua huyu kazaja kidgo huyu wastani n.k


Picha likaja nikiwa na masela road sigeuki nawambia man huyu KE akipita angalia nyuma utaona zigo

Hiko kipaji mkuuu kikuze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…