Nawezaje ku-upgrade OS ya Samsung toka 2.2 ?

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Wandugu habarini...
Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
 
Tafuta simu nyingine tu yenye specification kubwa upate mambo mengi zaidi kama S7,S7 edge,S8 au ukikosa tafuta zenye uwezo atleast ram 1gb ROM 16gb
teknolojia inakanuni moja kila siku inaenda mbele huwa hairudi nyuma
kwa toleo lako hilo sidhani kama utaweza kupata update tena
maana saivi tupo toleo la 8 android oreo
 
hivi uki update alafu mB zikakata Simu sindo itakuwa mwisho wa matumizi yake yaani kufa
pili je ni mb kiasi gani zinahitajika ili niweze download hio Adroid mpya
 
mb zikikata inastop ukiweka bando inaendelea ilipoishia
mb inategemea na simu yenyewe
 
Wandugu habarini...
Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
s1 inaenda hadi 2.3

ukicheki update kawaida kwa kwenda setting kisha about kisha software update haiji?

alternative download kies kwenye pc kisha connect simu na usb kisha jaribu kuangalia update kupitia kies.
 
ukubwa wa hizo Adroid ina range kwenye mb ngap mkuu
 
inategemea mkuu na android yenyewe inaweza kuwa mb 300 mpaka 2GB hivi.

android za zamani zilikuwa na mb kidogo, android mpya zina mb nyingi.

pia manufacture kama samsung wana tabia ya kujaza makorokoro mengi humo ndani ya updates kama vile apps zao na apps za partner wao, hivyo kufanya update izidi kuwa kubwa.
 
hivi uki update alafu mB zikakata Simu sindo itakuwa mwisho wa matumizi yake yaani kufa
pili je ni mb kiasi gani zinahitajika ili niweze download hio Adroid mpya
unatakiwa kuhofia simu kuisha charge kuliko simu kuisha mb.

simu inapodownload haianzi ku update, inadownload kwanza ikimaliza kudownload ndio inaanza ku update, hivyo wakati wa ku update unakuwa hutumii mb.

ila kipindi una update halafu simu ikiisha charge inaweza leta matatizo.
 
Wandugu habarini...
Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
Fanya updates via OTA yaan over the air kwa kutumia Wifi, ila hyo OS itaishia 2.3 na sio kwamba itamaliza tatizo bado kuna application nyingi tu utashindwa kuzitumia. Hapo ni kubadili simu tu
 
unatakiwa kuhofia simu kuisha charge kuliko simu kuisha mb.

simu inapodownload haianzi ku update, inadownload kwanza ikimaliza kudownload ndio inaanza ku update, hivyo wakati wa ku update unakuwa hutumii mb.

ila kipindi una update halafu simu ikiisha charge inaweza leta matatizo.

Asante Sana Mkuu

inategemea mkuu na android yenyewe inaweza kuwa mb 300 mpaka 2GB hivi.

android za zamani zilikuwa na mb kidogo, android mpya zina mb nyingi.

pia manufacture kama samsung wana tabia ya kujaza makorokoro mengi humo ndani ya updates kama vile apps zao na apps za partner wao, hivyo kufanya update izidi kuwa kubwa.
 
Wandugu habarini...
Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
Njoo nikuuzie J5 prime 2016 2gb ram storage 16 camera 13, front5 hutojutia raha sana mkuu hiyo achana nayo bei ni 430k haipungui njoo pm .
 
s1 inaenda hadi 2.3

ukicheki update kawaida kwa kwenda setting kisha about kisha software update haiji?

alternative download kies kwenye pc kisha connect simu na usb kisha jaribu kuangalia update kupitia kies.
Mkuu Chief J5 prime 2016 naweza update kwenda os 7.0
 
yap imeshapata android 7.
Duuhh Chief nimeshapata soln yaani hapo lazima nifanye manually updates kwa kutumia pc , odin latest version na firmware ya j5 prime .
Android+N+Infographics.jpg
 
Duuhh Chief nimeshapata soln yaani hapo lazima nifanye manually updates kwa kutumia pc , odin latest version na firmware ya j5 prime .View attachment 660435
odin ni njia ya mwisho, na kama huna uzoefu unaweza brick simu, pia kuflash hivyo kunaweza kuondoa warranty.

anza kucheki na setting kisha about kisha software updates, ikishindikana hamia kies, download kies mpya kwa simu mpya.
 
thanteee kiongozi kuflash nipo vzr ila wacha niiache hiyo njia
 
Back
Top Bottom