Pata samsung One UI ,theme bora zaidi ya kisasa

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
kama unatumia samsung devices basi bila shaka una option ya kuweka themes tofauti kwenye simu yako.

Ila shida sasa,theme nyingi kali zinauzwa ,ikiwemo hii mpya sa samsung One Ui

Hii one UI ni user interface mpya kwa samsung device hasa hizi latest,ila kwa wale wa zamani kidgo basi UI hii wanishia kuiona tu kweny device latest.

Mfano wa one UI utaupata kweny s10 na pia device mpya zote especially za mwaka huu

Uzi huu utakuwezesha kutumia sio tu one UI bali kutumia theme yoyote inayouzwa ukaipata kwa free ndani ya mda wote bila kulipia.

Kwakua nimeipenda hii One UI basi ndio nitatumia kama mfano kwa zoezi hili..uko free kuweka paid themes yoyote utayopenda wewe .

#HATUA ZA AWALI#

1.Download samsung one ui theme nitazoweka hapa chini,zipo mbili,kuna ya dark theme na kuna light theme

2.Baada ya kudownload install theme yako kisha nenda ka apply theme kwenye samsung theme kule,ndipo utapoikuta theme yako imekua added.

3.baada ya ku apply theme, utapata mwonekano mpya wa simu yako ikiwa na one ui theme

3 .Hatua ya mwisho sasa ni kuifanya hii theme ikae kwa muda wote ,maana paid theme utapewa trial ya siku 5 tu..sasa hatua hii ni kuifanya any paid theme ikae muda wote bila kuinunua.

Fungua setting kisha nenda about phone kisha software information kisha build number,iguse build no mara saba haraka hataka hadi ikwambie sasa umekua developer

Baada ya hapo rudi nyuma hadi kwenye menyu ya setting utaona Developer option,sasa fungua hapo kisha angalia Running service na ufungue hapo.

Ukishafungua running service tafuta Theme
Kisha ifungue na click stop,ukishafanya hivyo usjie ukafungua theme tena ,na ukija ifungua ukataka weka theme mpya basi ukisha apply usisahau kuistop kule kwenye running service.

Done.

Ukishafanya hivyo basi theme yako itakaa bila kulipia milele...

Angalizo,theme ikikuvutia sana basi usione kesi kuinunua na develeper akapata hela ya chai



Hapa chini kuna One UI ya day ambayi ndio light na dark one..mimi nimeattach screenshot za light one ui kwenye samsung s6.View attachment Night Theme V5.apkView attachment envDAY_themeV3.apk
Screenshot_20190625-180949.jpeg
Screenshot_20190625-180939.jpeg
Screenshot_20190625-185548.jpeg



Light theme https://www.mediafire.com/file/rdfu1z5593xl1fy/envDAY_themeV3.apk/file




Dark theme

 
Mkuu napataje zile font za samsung zizaziuzwa kwa free naomba msaada mkuu maana nmechoka hizi za jazz na Rosemary
 
Back
Top Bottom