Nawezaje ku-make sceeen shot?

Nawezaje ku-make sceeen shot?

Bonyeza yakuzima na yakupunguza sauti kwa wakati mmoja
 
Tumia ujuzi na akili uliyonayo kufanya kwa kitu ambacho ulitoa hela ukakinunua mwenyewe bila ya kushurutishwa kukinunua
 
nenda kwenye simu yako na uangalie demo yake katika how to use it utaelekezwa huko..
 
i know google sometimes haiwezi kujibu kila kitu but in here people seems to underestimate the power of Google
 
Back
Top Bottom