Jinsi ya kuchukua video na audio youtube kupitia simu!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,359
Reaction score
2,780
Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu?

Teknolojia Tamu bhana[emoji38] unajua akuna kusumbuana Yani Ikiwa unataka kudownload kitu chako na kukiweka kwenye simu labda masuala ya dini, makala mbalimbali , music , movies na nk inawezekana.

Okay Leo nitakuambia app Bora za kutumia kuweza kupakua video na audio kwenye YouTube Yako ni rahisi sana tumia hizi app ila azipatikani kwenye soko la Play store inabid uipakue google

[emoji2389] Android

1) Newpipe
2) YouTube Go
3) SnapTube
4) Ymusic
5) vidmate
6) ItubeGo
7) 4kdownload

Ni app ambazo nzuri sana utaweza kupakua video , Audio , picha na nk kupitia platforms mbalimbali YouTube , Instagram , TikTok , Facebook na kuweka kwenye simu Yako

Tena utaweza kuchagua ubora wa aina tofauti tofauti [emoji110] mp3 , MP4 , mpeg , Hd nk

ikiwa hata unataka kudownload video za TikTok ambazo zimefungiwa tumia izo app zitakusaidia sana [emoji110]

[emoji2390] Watumiaji wa Iphone [emoji116]

Kwa upande wa Iphone hakikisha umedownload documents file reader browser alafu fungua Kisha gusa kwenye browser

Itakupeleka kwenye page ambayo utaweza kudownload video au audio yoyote na kuweka kwenye simu Yako ya iphone

Ukimaliza kudownload kitu bonyeza kwenye folder lake la download >> Kisha share your file to other apps >> Kisha utaweza kuweka kwenye photo Library Ikiwa video.

Ebu tuambie unatumia app gani kupakua video au audio kwenye YouTube au social media yoyote ?
 
Naomba naya kupakua video iliopo fb stutus na instgrum stutus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple fanya kama unashare pale kweny hiyo video huko youtube itakuja sehemu imeandikwa copy link then we icopy

Nenda Google search online youtub video download zitakuja website kibao moja wapo ni ile save from net

Utaingia utaona sehemu ya kupata url ili uliyocopy kwenye video then unapaste pale iyo link kazi kwisha inakuja video unachagua quality unadowload
 
Videoder anytime
 
Shukrani sana nikitaka iconvert iwe audio nafanyeje.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kupata episode za tamthilia ya brothers(cador dalisay) kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili kama zilivyo kwenye star tomes swahili tv.
Nipitie njia ipi?
 
Back
Top Bottom