Naweza pata mkopo kwa kutumia vyeti vyangu?

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
463
644
Wakuu habari!

Ninavyeti kama ifuatavyo,cheti cha darasa la saba, cheti ya o'level, cheti cha A'level, cheti cha chuo,na vyet vya dini ambavyo nilifahuru kwenda seminary kwa kupata daraja A.

Naomba kujua kuna taasisi yeyote ile inakopesha kwa vyeti hivi ili nikaweke kama dhamana niweze kupata mtaji nijiari.

Wenye uelewa kuhusu mikopo please naombeni mnijuze...sioni maana ya kuwa na hivi vyeti kabisa bora nikaweke bond.

Au kama kuna Mtu umu anaweza kunirusu nimuwekee bondi anipe M5 nifanye biashara.
 
Mmmh...mkuu ni bora ukaandaa vzuri business idea yako then ichukue nenda kaombee mkopo kuna asilimia kubwa ya kupata kuliko kupeleka mavyeti vyako ata kama umepata A chekechea adi chuo kikuu.

Cheti ni karatasi tuu...lenye maandshi na manambanamba.
 
Usiponilipa pesa yangu cheti chako kinanisadia nn....mkuu umuhimu wa cheti anaujua mwnye nacho sio watu baki

Nasema uongo ndugu zangu???
Utachoma! Au utachana chana na mkasi. Unajua kitaa kulivyo kugumu wewe??? We acha tuu usisikie ya kuambiwa cc ndo tunaojionea live. N sawa na shabik wa liverpool azungumzie machungu ya shabiki wa arsenal wakat shabiki wa arsenal anajua A2Z😎😎 umenielewa mkuu, hiyo connection kama ipo nam naitaka sanaaaaaa
 
Apana haiwezekani sbb thamani ya vyeti na pesa unayo omba havilingani, kwa sbb unaweza kutengezewa vingine *DUPLICATED) na pesa ikabakia akawa amekula hasara alie kukopesha.
 
Back
Top Bottom