naweza nkapata kaz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naweza nkapata kaz

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Eversmilin Gal, Mar 6, 2012.

 1. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  natumain wanajf Mungu amewaamsha salama mimi nina form six qualification na insurance certificate of ifm bada ya hapo ckuweza kuendelea tena mwaka 2008. cjafanya kazi sehemu yoyote sijui
  Kama naweza kupata kazi, naombeni mnishauri na kama kuna kaz sehemu yoyote naomba mniambie nina shida naomben msinikejel au kunitukana
  Asanten na asubuh njema
   
 2. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jitokezen basi wakuu
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kwa nin usirudi shule mkuu?maana hata hao wenye bachelor wako wengi 2 mtaani.
   
Loading...