Duuh teknolojia imekua...ngoja nisubiri aje nijifunzekama alivyosema mdau ni elfu 5 kwenye majumba ya cinema.
angalizo, si miwani zote zinafanana na sio kila technology ya 3d inafanana. usitegemee kununua tu miwani ifanye kazi kote. hasa hizo tv zinakuwa na technology tofauti.
ni vyema ungetaja full model ya hio tv yako kupata msaada zaidi.
Hili ni jibu zuri Zaidi [emoji106]Ungeweza kwenda kwa dealer wa LG kwa msaada zaidi