WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,016
Habari ya majukumu wakuu?
Naiamini jamii forums kwa ideas na michango ya hali na mali kutoka kwa wadau. Huwezi kukosa majibu ukiwa hapa jf.
Naweza kupata wapi karatasi zenye material ya manila ambazo zipo coloured upande mmoja na colourless upande mwingine? Hizi huwa zinatumika sana kama cover au kurasa za juu za kwenye vitabu.