Naweza kupata spare yake???

Naweza kupata spare yake???

P chatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
375
Reaction score
283
Nina tv yangu flat tv aina ya BOSS INCH 24 imegongwa kioo kikafa, so naweza nikapata kioo kwa Tanga au Dar na kinaweza kufika shilling ngapi?? Msaada please
265d9f252ccd2c884ac1f8989bebed1d.jpg
b060f0908b0b980ce64c7540d2575bcd.jpg
 
Nunua tu tv nyingine,bei ya kioo na ufundi ni karibia na bei ya tv nyingine ya aina hiyo
 
Back
Top Bottom