Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,776
- 39,990
Unapata Redmi 9A around laki 220,000Kwa pesa hii sh 200,000/= simu gan Kali naweza kupata.
Naombeni ushauri wenu wadau jf
Ila ukiweza kuongeza ongeza kidogo hadi 280,000 mpaka 300,000 unapata Redmi 9 ambayo ni nzuri zaidi.