Naweza kupata simu gani kwa laki 2

natamani kuwa na simu nzuri zaidi maana simu niliyonayo kwa sasa nimeichoka OPPO A3S na naona kabisa tunakoelekea itaniacha but mambo ni mengi sana
 
HAPO UNAPATA SIMU YA KAWAIDA SANA HASA KWA BONGO ILA UKIAGIZA CHINA NA KAMA SIO MPENZI WA BRAND UNAWEZA UKAPATA SIMU YA MP 13,4000 MAH NA RAM 2-4 WITH ATLEAST 32 GB
 
Back
Top Bottom