Sasa unauliza halafu ukijibiwa ndio ufungue thread nyingine ya kutafuta? Ungeunganishiamo tu..
Ndio, tuma tuma mpesa utapata
Ndiyo.... Unaweza
Mtaani hakuna wachumba?
Wapo,na mitandaoni wapo pia babu
Kakosa mtaani awekeze nguvu zote kwenye hadaa za mtandao?
Mke/mume anapatikana popote babu. Iwe mtaani,club,nyumba za ibada,mitandaoni popote pale
ha ha ha
usihofu ni funga mwaka MMU
Hahahahaaa, Ila siku zote mm huwa ni mshauri waki mzuri, ni vile huwa hunisikilizi😉
Nitakuja kutoa full mkasa wa hili!