Naweza kumpata mpenzi wa kweli kwenye mitandao?

Naweza kumpata mpenzi wa kweli kwenye mitandao?

Kwani unamatatizo gani mpaka uje mitandaoni au huko unakoishi hamna wanawake???? kama hamna au hawakuridhishi kitabia nenda kijijin kwenu utapata
 
kuna whatsapp group la wale wa ambiance, kama unamaanisha, sema!
 
unaweza kupata na unaweza usipate yote yanawezekana hapa........waliopo hapo ndio hao wa mtaani pia
 
hutoi ushauri mwanana wewe??? kama wewe mmoja tu uliweza kuwa na wanawake 6 basi hata wewe ni shida ingine hapo.

Mimi naamin wapo kabisa na huwezi amin akawa mke bora kabisa.

sio kila kitu king'aacho ni dhahabu na vilevile sio kila mnachokiamin kuwa mitandaon hamuwezi kupata mke ikawa hivyo.

Don't take things the same everyday, days changes so the things also.

Tena mimi nina ushuhuda,
Nilipata marafiki wawili (wa kike) kwenye mitandao miwili tofauti huu ni mwaka wa 4 sasa, tunaendeleza urafik wetu vzr, na tumekua ndugu.
So hata mke/mume hua naiman mtu aweza kupata kwny mitandao.
 
Take care, I bet it's less percentage than you can imagine!!
 
Mke unaweza pata lakini itakubidi uchukue hatua ya ziada. Humu tunapata habari mbali mbali suala la mke........mmmh sikushauri kila mtu anaogopa mtandao si mwana mke si mwanaume. Ijapokuwa katika masuala ya kibiashara na kiofisi huku ndio kwenyewe. Ila ndoa....sikushauri......ndoa bwana inahitaji hardcopy....yaani u need to see it...feel it....touch it...
anyway usiku mwema kaka
 
Tena mimi nina ushuhuda,
Nilipata marafiki wawili (wa kike) kwenye mitandao miwili tofauti huu ni mwaka wa 4 sasa, tunaendeleza urafik wetu vzr, na tumekua ndugu.
So hata mke/mume hua naiman mtu aweza kupata kwny mitandao.

nimependa ushuhuda wako. Naamin wengi wanna hz dhuhuda
 
wengi ni waongo na watakupotezea muda na kukusaidia kula pesa zako!
 
Nafikiri tatizo kubwa si kuhusu "utampata wapi", rather ni "utamtambuaje kama ni mtu sahihi kwako".

Challenge nyingine ni kuwa wengi wanaanza mahusiano kabla ya kuonana, kitu ambacho si kizuri mara nyingi. Unakuwa ushacreate picha ya baby wako ( camera 360 oooh) + expectations kibao depending na unavyomsoma au kuwasiliana. Mtapanga kwenda kukutana na hapo ndo balaa linaweza kutokea. Worse enough itokee wewe umemfeel huyo mtu balaa afu yeye chemistry imegoma mweee
 
Naamini mume au mke anapatikana popote, wawezampata bar, barabaran, Nyumba za ibaada, kwenye daladala na hats humu na akawa wakufanana nawe haswaa, km ww wataka wa mtandaoni utampata tu, endelea kurusha kete zako
 
Bar?? Hell nah!! Nwei naamini kila linalokuja mbele yako Allah amelipanga
 
Bar?? Hell nah!! Nwei naamini kila linalokuja mbele yako Allah amelipanga

Wa Bar anampata wa Bar mwenzie, wanaelewana wanaishi pmj,

The same kwny nyumba za ibada, akiwa muumini atampata muumini mwenzake.
 
Bar?? Hell nah!! Nwei naamini kila linalokuja mbele yako Allah amelipanga

Ndio bar, ninayo mifano kadhaa mmoja alioa barmed na wana watoto wa 4 hadi sasa wanaishi kwa furaha, wengine walikutana tu huko wakapeana namba na sasa ni MTU na mkewe, inawezekana
 
Ndio bar, ninayo mifano kadhaa mmoja alioa barmed na wana watoto wa 4 hadi sasa wanaishi kwa furaha, wengine walikutana tu huko wakapeana namba na sasa ni MTU na mkewe, inawezekana

Nina mfano mmoja walikutana bar wakaoana asa hivi kama mume Hana hela nyumba anaiona shimo
 
Wa Bar anampata wa Bar mwenzie, wanaelewana wanaishi pmj,

The same kwny nyumba za ibada, akiwa muumini atampata muumini mwenzake.

At least umenambia neno hili hats mama yangu aliwah nambia hapo kabla kwamba Mwenyezi Mungu hukupa yule WA kufanana nawe
 
Back
Top Bottom