Naweza kukaa Gongo la Mboto nikasoma UDSM?

Naweza kukaa Gongo la Mboto nikasoma UDSM?

Eti jamani naweza kukaa Gongo la Mboto mwisho nikasoma UDSM?

Kuna daladala za Gongo la Mboto zinafika UDSM au Ardhi?

Nauli je?
Hapo kuna umbali mkuu,bora ukae hostel tu,maana kila siku itakubidi uamke mapema sana ili kukwepa foleni na kuchelewa vipindi.
 
Si tunaishi Goms huku.
Jaribu kufanya utafiti. Lala gheto kwa jamaa yako damkia simu 2000 shuka kona ubungo una tembea mpaka chuo. Kutembea ni mazoezi safi
 
Eti jamani naweza kukaa Gongo la Mboto mwisho nikasoma UDSM?

Kuna daladala za Gongo la Mboto zinafika UDSM au Ardhi?

Nauli je?
Katika uamuzi ambao utakuja kuujutia ni huo.. ahsante
 
Gari zipo boss ila unashukia maeneo ya karibu na ile barabara inayopandisha rwegarulila sijui kituo kinaitwaje. Kama unasoma ardh basi unateremka mbele kidogo ya mlimanicity. Ila inakubidi uchukue daladala ingine kama unataka kuwahi kwa vituo vyote viwili
Ndio unaweza kukaa. Ila swala kuchelewa itakuwa kawaida sana, maana hizo sehemu zipo mbali mbali.

Pia hakuna gari direct kutoka Gomz kwenda Udsm, labda UBER.
 
Why not wakati kuna hadi watu wanakaa china na wanapiga book udsm
 
Yaap nimejaribu hii kutoka goms hadi m.city ni gari moja tu huwa napanda kutokana na foleni mm hutumia lisaa limoja kutoka goms hadi m.city siku hakuna foleni natumiaga only 45 minutes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari zipo boss ila unashukia maeneo ya karibu na ile barabara inayopandisha rwegarulila sijui kituo kinaitwaje. Kama unasoma ardh basi unateremka mbele kidogo ya mlimanicity. Ila inakubidi uchukue daladala ingine kama unataka kuwahi kwa vituo vyote viwili
Yaap nimejaribu hii kutoka goms hadi m.city ni gari moja tu huwa napanda kutokana na foleni mm hutumia lisaa limoja kutoka goms hadi m.city naenda zangu chuo kikuu ardhi siku hakuna foleni natumiaga only 45 minutes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom