Eti jamani naweza kukaa gongo la mboto mwisho nikasoma udsm?
Kuna daladala za gongo la mboto zinafika udsm?
Ni Gari Moja.Maana kuna mtu kanambia et gar zipo mpk huko mliman city
Mwisho Mawasiliano.Hizo za mawasiliano zinaishiaga wap?
Tsh 400/Tsh 450Nauli jee?
Ndio unaweza kukaa. Ila swala kuchelewa itakuwa kawaida sana, maana hizo sehemu zipo mbali mbali.
Pia hakuna gari direct kutoka Gomz kwenda Udsm, labda UBER.
Hizo za mawasiliano zinaishiaga wap?
Eti jamani naweza kukaa gongo la mboto mwisho nikasoma udsm?
Kuna daladala za gongo la mboto zinafika udsm?