J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
ccm zanzibar wanahisi marekebisho yoyote ya muungano wataondoka madarakani kwa hivyo fanya liwalo torosha amaniii
Tuliungana na Zanzibar kwa amani na tuiachie iende kwa amani.
Let Zanzibar Go.
kwani kwnn wanaing'ang'ania c wawaachie nchi yao?ccm hamtakiwi kule hamuelewi
kwani kwnn wanaing'ang'ania c wawaachie nchi yao?ccm hamtakiwi kule hamuelewi
Wameshachoka hao inamaana nyie CCM hamuelewi?. hadi wanachoma majengo yenu!, wanaua askari wenu na kubwa zaidi ni kwamba wako tayari kwa lolote. Hii na dalili mbaya sana kwa uongozi wenu. Nimewasikia wanadai nchi yao au muungano wa mkataba, haya chagueni kimoja wapo ili muwape. Jk na Membe mkirudi toka Oman nawaomba nendeni zenji mkasaini pia muungano wa mkataba.
Wanajamvi kuna yeyote kati yenu anaefurahia yanayoendelea Zanzibar?Kama hatua zenye busara hazitachukuliwa,kisiwa hiki kitapoteza hadhi yake kabisa.Nilichobaini wapo watu wachache sana wanye kuitakia mabaya Zanzibar,kwa busara na hekima niliyojaaliwa toka kwa Mungu,naamini kabisa nikitua pale naweza kutatua mgogoro wa uliopo ZANZIBAR.Nahitaji tu mamlaka tu kutoka ngazi zinazoweza kunipa nguvu si ya fedha wala ulinzi.Sitanii,Wakuu wa nchi na mawaziri wenye dhamana na wadau wengine,tushirikiane tumalize tatizo.Dawa ya tatizo ni kulitafutia ufumbuzi.Wanajanvi wote naomba pia mchango wa maboresho wa namna ya kutatua mgogoro uliopo,ili pale pawe na amani na uhuru wa kutosha.Naomba kuwasilisha.