Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,153
- 2,501
Hawa jamaa (Al-Hilal) nasikia wameshinda kwa tuta, ndio wanasifiwa namna hii!Yaani kuna watu wajinga sijapata kuona. Hiyo timu inavyopigiwa upatu utadhani ni tishio, lakini kama una akili timamu unajua hata kufuzu kwao hatua hii wamepata taabu kweli, ushindi mwembamba wala sio kitu cha kutisha. Sema kuna watu wamejaliwa midomo michafu nyenye kuwashwa kutema shombo.