Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Mzee Wa Kazi Chafu

JF-Expert Member
Jan 24, 2022
1,438
2,745
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.

OYA HILO DAU LAKO MBN DOGO, TUWEKEANE 1 MILLION….BINAFSI NASHIDA NA HIZO MILLION 2
 

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
5,806
12,861
Yaani kuna watu wajinga sijapata kuona. Hiyo timu inavyopigiwa upatu utadhani ni tishio, lakini kama una akili timamu unajua hata kufuzu kwao hatua hii wamepata taabu kweli, ushindi mwembamba wala sio kitu cha kutisha. Sema kuna watu wamejaliwa midomo michafu nyenye kuwashwa kutema shombo.
Timu imepita kwa away goal advantage tena kwa timu ya Ethiopia ila inavyo pambwa wao hawaoni ugumu wanao enda kukutana nao na wa Angola walio shinda away
 

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
40,807
75,777
Kwa hisani ya gugo.....

Records za michuano hii zinaibeba Omdurman na pia uwanja wao unapakia 60000....na mashabiki wao Oya Oya za kutosha acha wetu akipigwa chenga mchezaji na tukifungwa au kusawazishiwa tunapoa kupoa.

Mie Mnyama ila Nawatikia kila la heri
Ukitizama vizuri hiyo video ya vibe utaniona nimeshika fataki 🤣🤣🤣🤣
 

ngakotecture

JF-Expert Member
Dec 30, 2014
2,091
2,037
Yaani kuna watu wajinga sijapata kuona. Hiyo timu inavyopigiwa upatu utadhani ni tishio, lakini kama una akili timamu unajua hata kufuzu kwao hatua hii wamepata taabu kweli, ushindi mwembamba wala sio kitu cha kutisha. Sema kuna watu wamejaliwa midomo michafu nyenye kuwashwa kutema shombo.
unazani Al Hilal wangepewa zalan si wangempiga 100-0. wao walianza na st george washindani kweli kweli sio zalan na mechi zao zilikuw na home na away sio kwa mkapa zote mbili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Top Bottom