Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Haya mashabiki wa Yanga mje huku
 
Sasa kama walishindwa kumfunga simba ambae tunam'butua kila uchwao wao wanatushinda nini?
Mimi hata nyumba naweka, nna uhakika yanga anapita, record zipo ili zivunjwe.
Na niwatabirie tu timu ya kwanza kuleta kombe lolote kubwa africa tz ni Yanga, haijalishi ni lini lkn Yanga watakua wa kwanza.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Labda km watavhezesha marefa WA kibongo
 
Tatizo la mashabiki wa Simba wanakuwa bize kuzungumzia negativities kuhusu Yanga na kusahau timu Yao , wapo bize na Al Hilal kuliko Agosto ambao ndio wapinzani wao wanashindwa kuelewa kuwa football is the matter of preparation regardless your records, tunakubali Al Hilal ina uzoefu mkubwa WA mashindano hayo but Young Africans has numerous number of experienced and talented players in the CAF Champions league, Any intellectual person can't dare to underrate achievement of Young Africans 41 games unbeaten in the league also NBC champion contender even Azam federation federation cup , You guys it is ease as you think . Tunajua mnaihukumu Yanga Kwa matokeo ya nyuma ktk michuano ya kimataifa kitu ambacho si kweli . Ktk ulimwengu wa soka kulikuwa na timu kama Ac Milan ya Italy enzi hizo kuingia fainali au kuchukua kombe la UEFa ilikuwa sio ishu lakini sasa wako wapi ?Mpira haina mwenyewe nyinyi na timu yenu iliyo na guarantee ya kufika mbali michuano ya kimataifa endeleeni hivyo badala ya kushupalia kuwa Yanga kuagaa mashindano pasipo kucheza na huyo mpinzani. Sisi wana Yanga tupo pamoja na viongozi benchi la ufundi pamoja na wachezaji wetu na tunaamini kabisa timu yetu NI Bora kuliko zote nchini na ubora huo tunaupima Kwa performance and trophies sasa unathubutu vipi kuikatia tamaa timu iliyo Bora na bingwa mtetezi wa ligi akili matope . Narudia mpira ni mchezo wa maandalizi ,ubora wa wachezaji (individual quality) , team work na benchi Bora la ufundi vyote Yanga wanavyo history kwenye soka is just minor case
Story kibao haya kwani Mmefuzu?
 
semeni yote hata ile ya kwamba Utopolo tumeingia mtumbwi wa vibwengo au choo cha kike yote sawa ila tunakiamini kikosi chetu na tutavuka na Mikia wote watapotea hewani au watasema tumeshinda kwa fitna za nje ya uwanja!
 
Nlianza Yanga hua inaongoza first round baadae mnakuja kwenye nafasi yenu mwisho wa siku hola! mkaja Yanga wataishia huko hatua za awali mkashangazwa sasa hivi imekua tusubiri round inayo fuata ndio mwisho wao! baadae itakua hawavuki makundi subirini muone!
 
Back
Top Bottom