Nawaza tuu,

Nawaza tuu,

Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
3,636
Reaction score
3,046
Shule zetu ! Sii lazima uwaze Kama Mimi.
tapatalk_1535528927819.jpeg
View attachment 850126View attachment 850127View attachment 850129View attachment 850130
tapatalk_1535530336578.jpeg
tapatalk_1535530504132.jpeg
tapatalk_1535530570279.jpeg
tapatalk_1535530764894.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazazi wa maeneo hayo ndio hawajielewi...
 
Hapo ndiyo ccm wanafurahi sana, utasikia nchi ina amani, watanzania hawana tabia za vurugu, ukionyesha kuipinga ccm hata kwa kuchezesha sikio tu wanasema wewe ni mnyarwanda, tena hapo wamekuonea huruma unaweza kupewa uraia wa Somalia
 
Staki niamini kuwa watu wa maeneo hayo wanashindwa kujiongeza kiasi cha kushindwa hata kuchangishana michango wakapata madawati.
Kuna picha mojawapo naona wanasomea chini ya miti (pine), ina maana shule haina mashamba? Kama yapo, mbona bei ya mbegu ni 9000 per kg. Ikioteshwa vema inaweza kutoa miche mpaka 10000 ambayo itapandwa kwenye eneo zaidi ya ekari 10 n.a. baada ya miaka 10 tu inavunwa .
Sasa hapo shida ni nini?
 
Unadhani ni uwezo au namna ya kuwaongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni
Unadhani ni uwezo au namna ya kuwaongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uwezo tu wa kufikiria mkuu...
Nimesoma primary kijijini enzi za Benjamini na mazingira yalikaribia kafanana n.a. hayo kwa vyumba 2 vya madarasa, lakini uongozi wa shule (sijui inaitwa kamati) walikaa n.a. kuandaa kitu kama nilichokiandika hapo juu (ingawa ni long time plan) ila ikafanikiwa vzr sana mpaka mapato mengi ya shule yaliongezea bila kutegemea ruzuku n.a. wafadhili.
Ingawa mwanzoni walianza n.a. kutengeneza madawati ya mabanzi yanakuwa fixed sakafuni kwa kutumia milunda mikubwa kama nguzo za umeme. Ilisaidia kwa miaka kama 2 au 3 then wanafanya maintenance mpaka walipokuja kupasua miti ya shule tena kwa order maalum bila kutumia hata senti yao ya mfuko wa shule.
Mabanzi kwa vijijini huko ni cheaply available kama sio bure basi ni tsh.50/= tu kwa banzi.
 
Mengine ni ujinga tu
Shule unakuta iko mahali Kuna mapori wanashindwa kujiongeza.

CBO's zinaweza kufanya vyema siyo mpaka kutegemea serikali kuu

[emoji252] [emoji479]
 
Back
Top Bottom