Kweli ndio maana nikamaliza kwa kusema inaweza tokea msamaha wa Rais aliye madarakani kipindi hicho haijalishi kipindi hiki au kijacho.Mkuu huyo keshazidiwa Kwa asilimi 99.
Hapo ponapona yake ni system iwe upande wake hasa Rais aliyepo madarakani.
Vinginevyo Ngoma inalala hivyo hivyo,
Wakate Rufaa, lakini mpaka kufikia hapo mzani ushalala huo
Kweli ndio maana nikamaliza kwa kusema inaweza tokea msamaha wa Rais aliye madarakani kipindi hicho haijalishi kipindi hiki au kijacho.
Na kunyolewa kipara kila idaraKweli Maana kuvaa zile jezi dah
Mkuu haya mambo ya kichama zaidiAsalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawatu na neno huenda ndilo mpigie mstari.
Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela.
Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi.
Je, unazani hakuna watu nyuma ya Sabaya? Kama wapo unazani watamuacha Muda wote huo? Jibu ni hapana najua unajuliza kuwa watafanya nini na hukumu ishatoka.
Basi Mimi najaribu kuwaza huenda sabaya atakaa Jela miaka michache sana nijaribu kuassume hata miaka 10 Japo sipo sahihi harafu kutatokea na msamaha wa Rais na hapo Sabaya anaweza kutoka.
Hayo ni mawazo tu.
Kweli unaweza shangaa anakaa miaka 2 harafu msamaha wa namna yake unatoka.
Umemaliza kabisa kilicho baki ni maoni yako kuchukuliwa uzito.Wafanye lolote, hiyo sasa haituhusu. Kwamba huyu ni condemned criminal inatosha sana.
Mengine si sawa na ya akina Mghwira anastaafishwa kwa umri lakini Makongoro anateuliwa kuanza post hiyo hiyo kwa umri huo huo ππ.
Wacha wafanye yote - ila mahakamani (chonde chonde) ushahidi na sheria vizingatiwe.
Tusitafutane uchawi.