Nawaza sana mimi, hivi ingekuwaje ?!

Nawaza sana mimi, hivi ingekuwaje ?!

Mbona huyo wife wako kiazi sana.yaani wewe ndo umebeba maisha yake.hana vision wala dream yoyote na maisha.what if ukifa leo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu miss natafuta,

Mtoa mada ametoa sifa nyingi Sana za baby wake ,,yaaani zoooote hujaziona, Umekaa ukatafutiza sifa mbaya ambayo unahisi mke wake anayo ndio ukaamua umtukanie hiyo,,,umenihuzunisha




Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Back
Top Bottom