Nawaza sana mimi, hivi ingekuwaje ?!

Nawaza sana mimi, hivi ingekuwaje ?!

Wanawake wote ni wake wema ila kwa mwanaume kamili tu na si vinginevyo
Kama ndoa yako ina matatizo we jiongeze na mshone palipochanika.
 
Dah we jamaa mbona kama umemuongelea my yf wangu mzee??....

heb ngoja kwanza......
hivi ingekuaje kama siku ungefaham mabaharia washamla tunda kimasihara?Hiv ingekuaje??
ahahahahahahahahahah
 
imefikia hatua, mtu akileta habari nzuri kuhusu ndoa watu wanachukia, wanaponda na kutoa maneno ya kashfa. sio dalili njema!
 
Back
Top Bottom