Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Na wewe siumekuja?Ngoja waje mkuu
Shemela upo?!(kwa sauti ya Shunie)[emoji125] [emoji125] [emoji125]Na wewe siumekuja?
Kwa kweli mimi sina. Nilifulia weekend..nakaribisha mapovu yenu
Haaaaahaaaa, nipoShemela upo?!(kwa sauti ya Shunie)[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hayo ni mawazo yako na fikra zako binafsi ambazo ulishazijenga tangu awali kwa kuzurura kwako na si kufanya serious researchHabari
Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu:
1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko majukwaa mengine sasa nawauliza hamjui kitu kwenye SIASA, UCHUMI, UTABIBU, MAGARI, ELIMU, SHERIA maana huko mnauliza tu, tofauti na majukwaa mengine
2. Mnapenda kuuliza sana kila jambo isipokuwa MMU na CELEBRITY hapo mna PHD kwa kweli. Sasa nawauliza nyie ni wasomi, je ni wasomi wa MMU?
3. Naskiaga huku mmepita chuo kikuu ila sasa mbona siwaelewagi mambo ya kutumia akili ya darasa la saba mpaka muombe msaada. mfano jiko langu linatoa moto wa njano naomba msaada?
4. Kwa nini hamko huru huku, japokuwa hatujuani(sina uhakika) ila mtu anaogopa kufungua ili iwe manufaa kwa wengine. Mkitaka kufunguka mnatumia id mpya.
5. Hamnaga mawazo chanya nyie kila kitu ni kibaya kwenu hasa linapokuja mahusiano, ushauri, maelekezo n.k
Niishie hapo
nakaribisha mapovu yenu
Kweli uku umekosea njia ila kwny mambo hayo alosema mkuu ungekua namchango mkubwa sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Nahis nimekosea njia [emoji26]
Kwanza leo umekula lakini?Habari