Nawauliza wakubwa tu...

Didn't he meant the hairy ass! huh!?:peep: well! i might be wrong! can you see in English it's easy to explain his question! looolllll! Ya leo ni kali duuuuhhh!:confused2:
 
hhaaaaaaaaa????kweli loyal.....yaaa raaab!!!!! Natoka asante humu uwanja wa dhambi hamnifai i thank u my dear!!!
didn't he meant the hairy ass! Huh!?:peep: Well! I might be wrong! Can you see in english it's easy to explain his question! Looolllll! Ya leo ni kali duuuuhhh!:confused2:
 
nooo!!!!!!!!!!!!!!! Not like dat lugha ya kiswahili imekuwa sasa maneno mengine siyapati vile niko njee na tz,,,,i hate dis,,

Hamna, unadhani lugha ya kiswahili imekuwa! imedumaa kwa sana, kinachoandikwa sasa si kiswahili ni kibongo tu, na interpratation ya maneno ya kibongo ni vile utakavyofikiria tu-ok!
 
kumbe basi ntakoma!!!lakini usiwe mbali pengine nikahitaji msaada kwa baadhi ya maneno kama huna tabu kunisaidia,
hamna, unadhani lugha ya kiswahili imekuwa! Imedumaa kwa sana, kinachoandikwa sasa si kiswahili ni kibongo tu, na interpratation ya maneno ya kibongo ni vile utakavyofikiria tu-ok!
 
basi lakini kimbweka mie nilikuwa sizifaham nsaambiwa na loyal basi nsamehe mi naogopa mambo makubwa nilipita tuu najua twafundishwa kupika kumbe mh!!kweli kazii
hehehehehe eeeh bana hahahaa haya naona umekuja na ya kufungia mwaka

kama za kichwani zinanyolewa na kinyozi bila shaka na za uwani zina kinyozi wake
 
basi lakini kimbweka mie nilikuwa sizifaham nsaambiwa na loyal basi nsamehe mi naogopa mambo makubwa nilipita tuu najua twafundishwa kupika kumbe mh!!kweli kazii

lakini bado unapakuliwa au ushafundishwa na kupakua baada ya kupika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom