hahahah cyo hivyo naweza kwenda kwenye kilaji afu nikapigwa chupa si wajua tena...so najiepusha na zahama za namna hiyo kwani mwaka juzi nilikwenda coco nusura nipigwe chupa usoni i will never 4get that lol
I hate so much that sea shore ..i don't know why?
its true its nt a safe place kwakweli...sema kampani tukaenda enjoy tumeketi kwa meza twapiga menyu watu wakawa wanapigana ule mtiti wakaja mpaka mezani kwetu..nusura chupa ile inipate....
Wangekuharibu hiyo sura sijui ingekuaje, siku nyingine uwe unaniomba ulinzi shirikishi
its true its nt a safe place kwakweli...sema kampani tukaenda enjoy tumeketi kwa meza twapiga menyu watu wakawa wanapigana ule mtiti wakaja mpaka mezani kwetu..nusura chupa ile inipate....
Babu Dark City naomba niseme ahsante kwa hii 'cartoon'
Lakini pia nishukuru kwa kututakia sikukuu njema za mwisho wa mwaka wadau wa hapa jamvini...
Na mimi pamoja na familia yangu nakutakia wewe na bibi pamoja na wana MMU wote Xmass njema na HERI ya mwaka mpya!
GOD BLESS YOU MY ALL FRIENDS.............................................................................