Nawatakia Ramadhwani Njema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakia Ramadhwani Njema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, Jul 29, 2011.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Assalamu alaykum yaa ikhwatu l,kiram.

  Kwa waislam wote nawatakia mfungo mwema wa ramadhwani.

  Hakika Allah atowafikishe tuweze kuudiriki mwezi huu kwa uslama na amani na kutuzidishia wingi wa wema na thawabu.

  Nawatakia kila la kheir na afya njema.
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  ndiyo kitu gani hicho mkuu,wengine hatujui au mwezi wa kutotenda dhambi na miezi mingine ya dhambi kwa kwenda mbele,kituko hiki ,
  wengine tuko gizani juu ya hilo suala
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Wizi utapungua mitaani walau kwa mwezi huu!

  Ramadhani Njema
   
 4. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  inshallah!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  alhamdulillah ustadh......harusi ilikwisha salama?.......napenda nichukue fursa hii kukutakia mema na barka katika mwezi ujao wa Ramadhani....inshaallah Mwenyezi Mungu akutangulie...amina
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Duh!! asavali bei ya kitimoto's ipungue maana kilo ilifikia hadi buku saba chenji hupati.
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Pangua masaa ya kula
   
Loading...