Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,829
Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025.
CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote atakaependekezwa na chama lazima ashinde uchaguzi huo na si lazima uwe wewe au mimi bali mwingine pia anaweza kua.
Ni vizuri kuelewa mapema utaratibu huu maalumu wa CCM na kwamba, ninaweza kua au unaweza kua umeongoza kura za maoni zilizopigwa na wajumbe wa mikutano mikuu ya CCM ya kata, lakini akateuliwa mtia nia mwingine ambae alishika nafasi ya pili, ya tatu au ya nne kulingana na idadi ya watia nia mliokua kwenye uchaguzi huo wa kura za maoni.
CCM hufanya hivyo kwasababu mbalimbali zenye maslahi kwa chama na serikali. Lakin pia masuala mbalimbali ya kinidhamu, uadilifu, maoni ya kamati za maadili na usalama za chama, mapendekezo ya vyombo vya ulinzi na usalama, historia ya mtia nia, dhamira na nia ya mtia nia katika kukiunganisha chama, kukitetea chama na kuwasemaea na kuwaletea wananchi maendeleo.
Ni muhimu kua tayari kupokea uamuzi huo muafaka wa kamati kuu ya ccm taifa na halmashauri kuu ya ccm taifa kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Ni vizuri baada ya matokeo, kuvunja makundi na kuungana pamoja kama chama, kukipambania chama chetu na hatimae kukiletea ushindi wa kishindo kuanzia ngazi ya Urais, ubunge na Udiwani.🐒
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.