Nawashangaa wanaoichukia CCM!! Hebu soma hapa.

Nawashangaa wanaoichukia CCM!! Hebu soma hapa.

Ninakipenda sana Chama cha Mapinduzi, nawachukia sana wengi wa viongozi wake ambao wana roho za Shetani na hawana huruma hata kidogo wala mapenzi na nchi hii na wanalindana kwa nguvu zote kutekeleza uovu na udhalimu wao na kuudumisha huku wakirithisha ndugu zao na watoto wao nafasi za chama wakitumia umbumbu wa wananchi wengi kuendeleza hila zao. Ukiwa na nia safi na njema na ukiwa mkweli ndani ya CCM ya leo wewe ndo adui Number 1!
 
CDM wengi majua na vichwa vya panzi , wote mapanya lakini huyu aliyeandika gazeti hata mapanya wenzio hawaelewikaandika nini ndiye panya buku kabisa.Anatueleza enzi za Mwl utazani hakuna hasiyemjua Mwl huyu kila mtu kwa upeo wake, anaellza CCM ya Mwl kama kwamba alitaka ikawe na mawazo mgando kama yake aliyo nayo, hata Mwl kama anamwrelewa lakini hakuwa na mawazo mgando , kukariri kama kasuku. Hivi wewe mwandishi wa riwaya unaweza kuwa Mwl ww au ulitaka zidumu milele fikra za Mwl. Huo ni ununda na nikikuita nunda usichukie ww nunda tu. Huko ulipo CDM hebu niambie kuna miiko ya mwanachama, WANAAPA NA AHADI ZA MWANACHAMA. Wewe mtu mzima bwana acha ubwege, hivi na wewe unaandamana na kuimba pipoz. Ahaaaaaaa ama kweli kuwa uyaone. ataulia halafu rudi nyuma huko mbele utachekwa na kuitwa kiraza. Kargabao. Naona kama walivyo wenzio na binadamu mwenye akili nzuri unachukia umasikini sana na hupendi umasikini cha ajabu sasa wewe na CDM wasioielewa CDM mnachukia UTAJIRI NA MATAJIRI KABISA WEWE. Hayo mahekalu unayoyasema mengi ni ya viongozi wa CDM na wachumba zao nyie mpo tu mnaimbishwa pipoz bila kujitambua. ----- ni ----- tu. Mwabeja sana
 
ukiogozwa na hisia na hasira basi hakika maamuzi yako yatakua tayari hata kumtetea mtu ambaye unahakika kuwa ni mhaini wa maisha ya watanzania
 
Wewe hata kuandika haujui tumekusamehe na chama chako cha masheitwani
 
toka tumekuwa na vyama vingi ccm ajawai kushunda kwa ridhaa ya wananchi iwe uraisi iwe unge iwe udiwani, iwe serikali za mitaa
 
Kama unatumia kichwa usikurupuke, ukisema barabara imejengwa Bukoba pia utuambie ni Almasi au dhahabu ya thamani gani iliyouzwa ili tulinganishe rasilimali zilizotumika na kiwango cha maendeleo kilichofikiwa kama vinaendana.
 
Kiwi we jembe loh.huku sumbawanga wameuza Shamba kubwa sana.tunajipanga kimtwara zaidi
 
Imekuwa ni kawaida sana kwa kizazi cha sasa kilichozaliwakati yqa mwaka 1990 na kuja huku mbele miaka ya 2000. Imekuwa ni kawaida sanakusikia mabezo mengi tu kwamba CCM ni chama kisichofaa kuongoza. Ni kawaidausikia kwamba mwaka 2015 CCM ndo itakuwa mwisho wake. Imekuwa ni kawaida sanakusikia watu wakiombea na hata kuomba dua mbaya (na si dua nzuri) kwamba CCM kipate mikosi ilikionekane hakifai mbele za watu.
CCM kimekuwa kikibebeshwa lawama na mizigo kisichostahilikuibeba……Chama Cha Mapinduzi ni chama kinachotawala yaani ni chamakilichoshinda na kuunda serikali. Kazi ya Chama Cha Mapinduzi ni kutengenezasera ili zitekelezwe na serikali. Kinapotengeneza sera kwa mfano, sera yaajira, kasha anayezisimamia sera hizo ni serikali (serikali ni pamoja na watuwasio na mrengo wa chama chochote ama walio na mrengo wa chama tawala na vyamavya upinzani). Sera za Chama Cha Mapinduzi hazibagui maana CCM kinaamini “Binadamu wote ni sawa na Kila Mtuanastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake…..”
Sasa utaona mtu aliyepewa mamlaka ya kuismamia utoaji waajira akafanya hivyo lakini kwa upendeleo wa kikabila ama kindugu lawama zotezinakwenda kwa CCM!!!!!Ama mtu akapewa taasisi aiendeshe lakini akawa na tamaa (greed)akafuja mali taasisi ikafa lawama zinakwenda CCM!!! Ama utakuta serikali inakamata wahujumuuchumi inawapeleka mahakamani kesiinaunguruma miaka kadhaa lakini watu wanaachiwa huru serikali inakata rufaawatu hawataki ikate rufaa. Hatimaye kesi inashindwa kuendelea kwa sababu yakelele za watu lakini lawama zinakwenda Chama Cha Mapinduzi!!!!!!!
CCM kinatengeneza sera za kujenga miundo mbinu ili wananchiwake wapate maendeleo yao lakini utakuta watu badala ya kutumia miundo mbinuhiyo katika kujiletea maendeleo watu wanatumia simu kutukanana ama kutukanawengine na hasa viongozi wakuu wanaosimamia nchi na hasa walioleta maendeleohayo ya miundombinu ya mawasiliano. Lakini lawama zote zinakwenda CCM!!!!
Watu walikuwa wanatumia masaa kumi na mbili kutoka Bukobakwenda Mutukula kiasi cha kilometa 80 tu lakini sasa wanatumia dakika 80 lakinilawama zinakwenda CCM!!! Watu walikuwa wanatumia usiku kucha kuanzia saa kumina moja jioni kwenda Tanga lakini sasa hivi ni masaa manne na nusu hadi matanotu lakini bado lawama zinakwenda CCM!!!! Zamani nchi ilikuwa giza tupu hasanyakati za usiku lakini sasa nchi inang’aa na mataa usiku (mataa ya TANESCO,SOLA, TOCHI NA TAA ZA KICHINA NK). Mpaka muuza mkaa antumia taa!!!! Lakinilawama zote zinakwenda CCM!!!!!
Sera za nchi zilizowekwa na CCM kwamba kila raia mwenye umriunaokubalika kisheria anayohaki ya kupiga na kupigiwa kura lakini watuwanashindwa kuelewa haki hiyo. Wanajichanganya kwamba haki ya kupigiwa kuramaana yake kushinda uchaguzi!!! Wakishindwa lawama zinakwenda CCM wakatiwaliopiga kura si wanachama wa CCM pekee……..
Watanzania tukumbuke tulikotoka…….Tuwaelimishe vijana wasasa wasiojua dhiki na taabu za maisha…Wanaodhani haki yako unaweza kuipata kwakutukana watu……Mimi niwaulize hata hao baba za watoto hao (au hata watu wazima)wanaoshabikia anguko la CHAMAkilicholeta maendeleo haya tuliyo nayo sasa. Kwamba motto wako akija leo hiiakakuomba pesa ya shule kwa nguvu na matusi juu, je utampa? Na hata kama utampautampa ukiwa na furaha moyoni? Au motto wako aje kukulaumu wewe mzazi kwambaumesababisha umaskini katika familia wakati huohuo anataka umwandikishe awemrithi wa mali zako……..!!!! Inaingia akilini kweli????
Msitulazimishe kujiunga na vyama vyenye tabia hiiniliyoitaja hapa juu na wala si lazima wote tuwe mashabiki wa vyama vya siasa,Maana siasa haikufanyi ufaulu Engineering, Information Technology, Accountancy,Sociology ama taaluma zinginezo bali taaluma itabaki kuwa taaluma na siasaitabaki kuwa siasa. Wengine hawahitaji kuwa wanasiasa….Wanataka kuwa raia wakawaida wajiajiri na wajiajiri. Sera za ajira na kujiajiri ziko wazi na walaserikali ya CCM haijazizuia ama kubagua watu. Kama una mtaji wako mwagamabilioni yako ujenge viwanda na CCM inatakulinda kwa sera zake. Ukikutana navikwazo inabidi kujiuliza ni wapi umekwama na si kuanza kulaumu.
Ni wapi CCM inakataza wawekezaji wazawa wasiwekeze?
Ni wapi CCM inakataza wafuasi wa vyama vya upinzaniwasiajiriwe?
Ni wapi CCM inazuia wananchi kujiunga na vyama vya siasa?
Ni wapi CCM inazuia vyama vya upinzani vitakaposhikamadaraka visitumie ikulu ya magogoni?
Ni wapi CCM inaiamuru serikali iwanyonge wapinzani?
Ni wapi CCM ikitukanwa imekwisha kwenda mahakamani?
Ni wapi chama cha upinzani duniani kilishawahi kushindauchaguzi kwa sera za ukanda?
ni wapi ccm inamwambia mwanachama wake akaongee siasa kanisani
ni wapi ccm inawaambia mawaziri wake wafiche fedha Uswis
ni wapi ccm anawaambia mawaziri wake kuingia mikataba feki
ni wapi ccm inamwambia waziri mkuu awaambie wananchi wa mtwara lazima bomba lijengwe
ni wapi ccm inamuambia waziri wake kuwaita wanamtwara vyura
wote hao ni wana ccm na ccm ndio imeweka
 
lipumba hawezi kuibeba ccm anakitu gani cha ajabu .

Unabishana nini juu ya Lipumba kuibeba CCM kwenye uchaguzi uliopita?yeye ni mwenyekiti wa CUF taifa kama mpango ulisukwa kupitia chama chake na yeye kama M/kiti alikubali na kuusimamia bado unabisha nini?au hata video ya lipumba alipokuwa ana-regret kuwa pamoja na kumbeba JK lakini bado hawajafaidika,amewatupa,amewasahau,na wakaenda mbali zaidi wakalalamika amewanyima mahakama ya Kadhi.
 
wewe mleta mada, hujui kutenganisha maneno? unatupa tabu ya kusoma bana, unaandikaje kama mtoto wa vidudu? kha! ccm wamekuomba uwagombelezee au nawe pia ni mmoja wa viongozi? shida zote walizonazo watu wewe unaona ni neema! rasilimali na nguvu za watanzania mnazifaidi wachache, kwa hiyo hamtaacha kulalama mpaka siku mtakapojua kinachowaumiza watanzania wenzenu. endelea kufaidi maana iko siku hutastarehe tena kama sasa.
 
Malyenge kikwetu ni makengeza, unaona ndivyo sivyo. Mi sikulaumu kwa maono yako haya
 
Usiogope... tunakukumbusha tu...

nafikiri kaka umo ndani ya ccm ila hauijui ccm kuwa ni muasisi wa mauaji ya kinyama na kikatili na hasa pale wanapokosolewa, nakushauri ujifunze vzr ili ukijue chama chako cha ccm hicho ni chama cha majambazi, tafiti vuzuri utakuja kunirejeshea majibu nasikitika kuwa utakuwa na unakimbizana na wakati.
 
Wataboreshewa Mazingira ya Kazi na Maslahi.
Watajikuta wanatumia Busara Zaid Kutatua Matatizo bADALA YA mIGUVU mIINGI ISIYO na Maana

Hao FFU watapewa silaha gani? Mabomu ya sponji?
 
Inabidi uwashangae walioruhusu mfumo wa vyama vingi pia ndio maana wametumia haki yao ya msingi ya kupenda chama cha siasa wanachotaka, au ulitegemea watu wawe CCM wote?
 
Back
Top Bottom