Umasikini hautaweza kuisha Tanzania chini ya CCM kwasababu imejegwa kwa maneno matupu, undugu, udikteta na ujamaa ambao hauzingatii sera za kuongeza uzalishaji na productivity. Wanaopenda CCM iendelee wajue umasikini utaendelea.
Omba omba itaendelea tu mpaka hiki chama na Tanzania kutokee mapinduzi kama ni ndani ya CCM na ndani ya vyombo vya usalama.
Misaada tunayopata leo kutoka hizo nchi tajiri ni kwasababu hatuzalishi chochote. Hatuwezi kuzalisha kwa mfumo huu wa CCM
View: https://youtube.com/shorts/XkNtfBr3BCk?is=IdS-Ni-zDwbncoSv