Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Afghanistan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
1,307
Reaction score
2,000
Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi

Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza

1. Je, Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

3. Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

5.Wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.

6. Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?

Karibuni kwa michango
 
Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi

Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza

1. Je,Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
3.Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

5.wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.

6.Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?

Karibuni kwa michango
Majority ni wale wavivu tangu utotoni mwao. 99% ni uvivu wa kufanya kazi.
 
Ugumu na dhiki za maisha si kigezo cha mtu kufanya uhalifu.
Wizi, udokozi, ukibaka, umalaya, ukahaba ni ishu ya tabia ( roho ).
Ukimpa kibaka au malaya milioni 20 mpe miezi miwili tu hata buku hana.
Pana watu wana maisha magumu kuliko hao na wanakaza hadi wanatoboa.
 
Majority ni wale wavivu tangu utotoni mwao. 99% ni uvivu wa kufanya kazi.
Nakubaliana na wewe mkuu lakini kwasasa wameenda mbali zaidi,unakuta mdada ana kazi yake au biashara na anapata kipato kizuri tu lakini bado anajiuza.pia mwingine unakuta kaolewa na mume wake anazingatia huduma na mahitaji mengine lakini pia anajiuza .lol
 
Back
Top Bottom