Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Haha ugomvi wa mtu na mjomba wake jamani nakufwaaaHeheeh yaan ukiturarua utatukomaaa,umeona ligi ya mange na le mutuzi,mange ana maneno nakufwa mbavuu
Haha ugomvi wa mtu na mjomba wake jamani nakufwaaaHeheeh yaan ukiturarua utatukomaaa,umeona ligi ya mange na le mutuzi,mange ana maneno nakufwa mbavuu
Na wamekutana hapo, hakuna wa kusurrenderYaan sina mbavu Mange huyuu ana maneno jamani,yaan basi na watu wanafurahije
Mabwakuuu, imekuwaje tena wakageukana? Haya mambo ya teams mweeMrs arsenal wenger nae alikua timu zar sasa hiv anamchambua zarii nimechekajee ,insta kutamu
Hichi kipande tam sanaNaufyonza mpaka basii,acha kusema waseme wala sijaliiiii haaaa hayo yake masebene wala sichezi mbaliiii
Ngoja niutafute YoutubeRarua rarua
View attachment 366271
Acha kusema waseme wala sijaliiii,heheh