Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
ukitaja mitandao yenye kasi ya internet kwa sasa utaitaja halotel na voda ila mimi napenda kuwa mkweli kama rais wetu anavosema voda wapo vizuri sana kwa huduma ya internet sifanyi promo wala sijalipwa ila nimeshawishika mtandao wa voda umekuwa na kasi sana kwa bei ile ile na mb za voda zimekuw mkombozi kwa wanainchi tulionakipato cha chini nimeweka gb1 nimetumia siku tatu
Mara ya kwanza nilinunua line ya hpalotel ila nilikereka sana kutokana na kuisha haraka mb gb1 ata saa moja halimalizi kiukweli kama mpo humu wahudumu wa halotel mlifanyie kazi weny vipato vya chini tunashindw kufurahia huduma yenu maana hamna utofauti kwenye huduma nyingine.