Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
- Thread starter
-
- #141
nikiingiaga jf somtime huwa nashindwa hata kumaliza kazi zangu. Mfano jana kuna jamaa alikuwa analinganisha dhahabu na mkonge,alinitoa povu,ckupata hata kumalizia kazi zangu nilizozianza.
We love you so much pia sweety! Stay blessed!
Ila kwa usalama wako mwenyewe nakuomba ukamtembelee ODM na ukaguliwe. lol
Wifi ukipata mda uje uchukue hii pete!yeuwiii pyaaa unasemaaaa?nakuhakikishia ndoa huna wewe. Utalala kwenye misumari
Wifi ukipata mda uje uchukue hii pete!
Nagaragara huku nalia, husikii sauti?.... Najuuuuta kumpenda nitonye, akija Bishanga nitauweka wapi uso wangu jamani?chu chu chu,poleh mamie usijali wala u will be just fine without him,unalia hapo ama?
Nagaragara huku nalia, husikii sauti?.... Najuuuuta kumpenda nitonye, akija Bishanga nitauweka wapi uso wangu jamani?
Wifi thanks kwa kutupenda wote, tunakupenda pia sana... Mungu azidi kukubariki huko uliko, usisahau kuniletea ile zawadi yangu nilokuagiza...
We binti unatupenda wote hata sisi vibabu vikongwe? Hebu come this way kwa ukaguzi na kugewa dawa ya usingizi....
na wazee wanasemaje?
nikiingiaga jf somtime huwa nashindwa hata kumaliza kazi zangu. Mfano jana kuna jamaa alikuwa analinganisha dhahabu na mkonge,alinitoa povu,ckupata hata kumalizia kazi zangu nilizozianza.
wazee tunasema mambo dole.
wewe utakuwa mvivu mkuu. jf kupendana unaona hatari? mwenzio nampenda kweli kweli kabakabana. wewe je?
Nataka kujua tu huo ukaguzi babu utaisha lini au ndiyo una concept ya going concern?
Kabakabana michael anakupenda pia! nawe walijua hilo.
Amen. Na wewe pia ubarikiwe sana
Nakusalimu, sijakuona toka siku ile lunch igeuke dinner....Tunakupenda pia, na Mungu akubariki!
Nakusalimu, sijakuona toka siku ile lunch igeuke dinner....
Bado nazunguka na zawadi yako mkononi, jitahidi uje uichukue manake mkono ukichoka ntaidondosha!..