Nawapenda wote

Nawapenda wote

Vp umefika na kirumba, ghana, kiseke, kigoto, kitangiri, kapiripoint, bujora(makumbusho), mkuyuni, luchelele, nyegezi beach?

aisee nilikuwa namalizia issue flani kesho ndo naanza matembezi rasmi. Nataka nilist sehemu zote nizifanyie scale of preference
 
aisee nilikuwa namalizia issue flani kesho ndo naanza matembezi rasmi. Nataka nilist sehemu zote nizifanyie scale of preference

Kila laheri mkuu, Mwanza mji mzuri, fresh air, fish, sweet potatoes na kila kitu kwa kweli utaenjoy.
 
Makoroboi MZA =Manzese uwanja wa fisi DSM, am I right mr. Nitonye?

Upo right kabisa yaani panafurika ile mbaya ila mimi nilikuwa napita tu naenda kwenye shughuli zangu
 
Unataka kuleta ugomvi tu wewe nitakupa andazi usiseme sawa binti mzuri eh

chitaki nimesema,lazima nikusemee kumbe na wewe ni mteja wa tax bubu lol utakuja kuniulia wifi yangu kipenzi buree
 
chitaki nimesema,lazima nikusemee kumbe na wewe ni mteja wa tax bubu lol utakuja kuniulia wifi yangu kipenzi buree

Wifi yako yupo salama usiwe na wasiwasi yeye mwenyewe anajua jinsi nilivyo
 
Back
Top Bottom