Nawapenda watusi, wana akili nyingi sana,wamebarikiwa

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Katika jamii zilizobarikiwa sana ni hawa watu, kwanza wana akili nyingi sana, wajanja, wana maono wanawaza mbele na wanawaza maendeleo

Ukiachana na hayo wanawake wa kitusi mungu kawapa muonekano nzuri sana, ni warefu, wana umbo zuri sana wana uzuri wa sura, umbo na sifa zote wamejaaliwa

Hata jamii zilizochukua nasaba huko wana akili nyingi sana mfano angalia wahaya na wachaga

Watusi ni jamii ya kuigwa sana hapa Africa tuna kila sababu ya kujifunza mengi kutoka kwa hawa watu.

Kwakweli wapo vizuri sana
 
Katika jamii zilizobarikiwa sana ni hawa watu, kwanza wana akili nyingi sana, wajanja, wana maono wanawaza mbele na wanawaza maendeleo....
rasta%20woman%20-%20Google%20Images.jpg
 
Katika jamii zilizobarikiwa sana ni hawa watu, kwanza wana akili nyingi sana, wajanja, wana maono wanawaza mbele na wanawaza maendeleo...
Ndio maana ukasema mama Habriymana arudi kigali kumbe nyuma ya pazia una lako jambo!!!!Swali la kukuuliza ushawahi kuishi na watusi miaka mitano mfululizo?
 
Katika jamii zilizobarikiwa sana ni hawa watu, kwanza wana akili nyingi sana, wajanja, wana maono wanawaza mbele na wanawaza maendeleo

Ukiachana na hayo wanawake wa kitusi mungu kawapa muonekano nzuri sana, ni warefu, wana umbo zuri sana wana uzuri wa sura, umbo na sifa zote wamejaaliwa

Hata jamii zilizochukua nasaba huko wana akili nyingi sana mfano angalia wahaya na wachaga

Watusi ni jamii ya kuigwa sana hapa Africa tuna kila sababu ya kujifunza mengi kutoka kwa hawa watu.

Kwakweli wapo vizuri sana
Sasa watutsi wana akili gani labda ungeelezea wamefanya hili na lile ambalo jamii nyingine hawajafanya bnafsi mm najua watu wote weusi hawana maarifa tu wenye maarifa ni weupe tu

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Katika jamii zilizobarikiwa sana ni hawa watu, kwanza wana akili nyingi sana, wajanja, wana maono wanawaza mbele na wanawaza maendeleo

Ukiachana na hayo wanawake wa kitusi mungu kawapa muonekano nzuri sana, ni warefu, wana umbo zuri sana wana uzuri wa sura, umbo na sifa zote wamejaaliwa

Hata jamii zilizochukua nasaba huko wana akili nyingi sana mfano angalia wahaya na wachaga

Watusi ni jamii ya kuigwa sana hapa Africa tuna kila sababu ya kujifunza mengi kutoka kwa hawa watu.

Kwakweli wapo vizuri sana
mmmh wachaga wana nasaba na watusi kido wahaya hata tamaduni zao zinafanana mpaka majina na misemo
 
Back
Top Bottom