Nawapenda wasichana warembo ila sina pamba za kuwadatisha

Duu! kwani wanawake warembo wanakupenda tu ukiwa umepiga pamba? Sidhani, kuna la muhimu kuliko pamba wanalolitaka kutoka kwako, Hata kama ukivaa gunia (idealistic), utapendwa tu endapo naye kakupenda! mimi nimempenda jamaa wangu bila ya hizo pamba unazozisema! Sasa cku pamba zimeibiwa, na upendo ndo utakua umeisha au? we are not so materialist as u think kaka yangu, we onyesha upendo wa dhati kwa huyo mrembo atakupenda tu.

By the way, kwa hiyo sasa unapendwa na kina nani? kama huna pamba?
 
Desperation is Like Stealing from the Mafia...., Most of the time you end up Attracting the wrong attention...,

Hao unaweza kuwapata kwa ajili ya pamba am sure hata kwa pesa tu peke yake utawapata..., Je do you really need this kind?
 
mwanaume confidence ya kuongea (kupiga sound) haijalishi ukoje au umevaaje, ujasiri wako tu, watadata na wewe.

ila,

nakushauri mpate mmoja tu wa maisha hapo utaenjoy, ukianza ku-share na wengine unakuwa UCHAFU!:horn:
 
Hii slogan ya kuwa Jamii forums is the home of great thinkers inabidi tuitizame upya hii
 
endelea hivyo hivyo kunawa,kula huli!!!!!!!!:twitch::twitch:
 
Nawapenda wasichana warembo ila sina pamba za kuwafanya wanipende je nifanyeje??

SHAROBALO on the making....pumbaf halafu mnazidiwa na wasichana kwenye mtihani wa kidato cha nne
 
Wapo watakaokupenda ulivyo,keep going+confidence ni muhimu.......:coffee:
 
Tafuta maisha ndugu yangu yakiwa mazuri hayo unayayo yasema utasahau. Kila mwamke anapenda maisha mazuri ni wajibu wako kuthibitisha unaweza kutimiza majukumu yako. Ukiweza tengeneza maisha yako wanaweke utakuwa unawakimbia.
 
sasa hao wanaokudatisha wamekwambia wanataka uvae pamba kali au? Kama mtu anakukubali atakukubali tu, mbaya pale unamtafuta utakaemvuta kwa pamba, sasa hizo pamba zikitoweka unatafuta anayependa viraka au? Kilambuzi hula urefu wa kamba yake mazee,,, usiforce sana ukaangukia usipotarajia.
 
Mkuu "beauty is in the eyes of the beholder" so please nakushauri wewe endelea kudumisha mawasiliano yako kwa huyo unae mpenda. Mambo ya pamba impact yake haipo. Wewe uwe msafi tu. Usije ukawa huna pamba na pia sio msafi sasa hapo it will be an insult to an injury!
 
Back
Top Bottom