Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

queeny

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
584
Reaction score
421
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
 
Mtafika mahali mtasema mwanaume wa kisukuma mkristo ana care zaidi kuliko muislamu....
Ninachoamini ni kwamba kupenda na kujali hakumo kwenye kabila la mtu bali ndani yake yeye mwenyewe....

sijasema wasukuma wote wanajua kupenda na wala sijasema makabila mengine hawajui kupenda
 
queeny,
Wasukuma wa wapi unaoongelea? Wa Geita,Mwanza,Shinyanga au wa Kishapu maeneo ya Isemelo,Buzinza,Mwamashimba,Mwabuzo karibu karibu na Meatu-ambao wanawake wanatumikishwa kwa mikokoteni,kulima mashamba,vijana wanawaacha wake zao watunzwe wao wanaishi maporini kuchunga ng'ombe?
I hope umekutana na msukuma wa mjini aliyeendelea,,nenda bush utafiti maisha ya kabila hili ambalo ni kubwa Tanzania
 
Last edited by a moderator:

wa geita sijui mwanza mi sielewi, namaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
 
Hakuna kama sisi warabu we tujaribu tu, we huoni wanawake wakisukuma lazima wazae na warabu ndo wanaona sifa :A S shade:
 
Naamini hakuna kama sisi wabende, jaribu uone....
 
wa geita sijui mwanza mi sielewi, n
amaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
ndio maana unateseka kuwajua wasukuma kumbe unawazungumzia walioko na ambao wameshaelimika na kuutupa uasili wao wakaubeba uzungu na ujanja wa makabila mengne?
 
wa geita sijui mwanza mi sielewi, namaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?

Kama wa mjini sawa
Upole,kujali,heshima na ukarimu ndio utambulisho wa wasukuma.Na kwa Geita hata sehemu nyingine msukuma akipata hela hajui kujibana full ku-care!! Nilikuwa nikiwaona Katoro,Nyalugusu,Nyankware,Iparamasa Pamoja na hayo,ishi nao vizuri,,WANA UPENDO WANACHUKIA KWA KUCHUKIZWA ni wazito wa kuchukia ila akichukia una kibarua kurudisha uaminifu,,wasalimie Nyankumbu,Geseco n.k
Ndoa njema
 
ndio maana unateseka kuwajua wasukuma kumbe unawazungumzia walioko na ambao wameshaelimika na kuutupa uasili wao wakaubeba uzungu na ujanja wa makabila mengne?

kwa hiyo hao wa vijijini wako tofauti na wa mjini? nachojua mtu anaweza kuja mjini na bado asistaarabike. bora hao waliokuja mjini wakajifunza ustaarabu
 
Back
Top Bottom