Nawapenda single mothers

Nawapenda single mothers

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,819
Nimetokea kuvutiwa na hawa watu sana,

Ukiwa nao kwenye mahusiano unakuwa umepata chuma cha ukweli, wana uzoefu mkubwa wa mahusiano hivyo wanapokuwa kwenye mahusiano hisia haziwaendeshi kama wale watoto..

Hawaombi ombi vitu visivyo vya msingi, wanatoa ushauri mzuri sana na ni waelewa pia, wanajua kujitegemea na kutunza wapenzi wao, sio wagomvi wengi wao ni watulivu na wapole, huduma wanatoa bila hiyana, na ukiwatendea wema hakika utawafurahia sana.

Kiufupi mi nawakubali sana, na naamini miaka kadhaa ijayo watakuwa kwenye chati sana na wataongoza kwa kuolewa kuliko hivi visichana vidogo vidogo.

Na wakiendelea kuwa hivi NADHANI ITAPENDEZA...
 
Hao single mothers ndio akina nani? Hivi kuna mother ambao ni double, triple, tetra etc !!!!!
 
Hao single mothers ndio akina nani? Hivi kuna mother ambao ni double, triple, tetra etc !!!!!
Mkuu hujaelewa nini?? Mlaumu mwalimu wangu maana mimi ndo matokeo ya yeye mkuu
 
Mkuu naona umeamua kujaza PM yako kwa style yako hongera zako wakizidi nipunguzie na mimi maana kama nawaona wakina miss natafuta & CO wakikusarandia inbox
Nawakubali tu hawa watu mkuu
 
Mkuu naona umeamua kujaza PM yako kwa style yako hongera zako wakizidi nipunguzie na mimi maana kama nawaona wakina miss natafuta & CO wakikusarandia inbox
Tehe tehe....jamaa mjanja mjanja kama dogo janja.
 
Humu ndan hata hapaeleweki kesho kutwa unakuja uzi wa kuwakandia
 
Back
Top Bottom